Connect ChatGPT to Borderless Budget and ask natural-language questions about transactions, spending, cash flow, budgets, recurring charges, net worth, and trends across currencies, all converted to your home currency.
Programu Borderless Budget
Maelezo
Msanidi Borderless Budget LLC
Kategoria Finance
Toleo 1.0.0 Ikiunganishwa na Borderless Budget, ChatGPT inaweza kushiriki Mazungumzo na Kumbukumbu husika na programu hii ili kutoa muktadha wa maombi yako. Matumizi ya data hii na Borderless Budget yanategemea masharti na sera ya faragha zao. Ikiwa umewasha Kumbukumbu , data kutoka kwenye programu inaweza kutumiwa kukupa taarifa muhimu au Mapendekezo mapema. ChatGPT daima huheshimu mapendeleo yako ya data ya mafunzo, ikiwemo data kutoka kwenye programu zilizounganishwa. Matumizi ya programu yanaweza kuambatana na hatari kubwa zaidi . Unaweza kudhibiti mapendeleo yako au kukatisha muunganisho wa programu wakati wowote katika Mipangilio. Pata maelezo zaidi